Author: contributor contributor

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Barrick.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi, imetoa ufafanuzi

Read More...

Wanafunzi wa shule ya st.Mary Goretti watembelea kituo cha Radio5fm.

Wanafunzi wa shule ya st.Mary Goretti pre & Primary School leo wametembelea kituo cha Radio5fm Arusha na kujifunza jinsi kinavyorusha

Read More...

Kifaa kilichowarekodi madiwani waliohama CHADEMA chatinga TAKUKURU.

Diwani Aihimidiwe Rico amewasilisha TAKUKURU kifaa kinachosadikika kuwarekodi madiwani wenzake waliohama CHADEMA na kuhamia Ccm kwakumuunga mkono Rais kwa

Read More...

Rabah Madjer abebeshwa zigo AFCON 2019.

Shirikisho la soka nchini Algeria limemtangaza mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya nchi hiyo Rabah Madjer, kuwa

Read More...

Rafa Benitez akataa kurithi mikoba Goodison Park.

Rafa Benitez amekataa ofa ya kujiunga na klabu ya Everton, ambayo inatajwa kuwa mbioni kumtimua kazi meneja wao wa

Read More...

Antonio Conte na Jose Mourinho watupiana vijembe.

Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte, amemwambia kocha wa Manchester United Jose Mourinho kwamba aangalie timu yake na

Read More...

Messi afunga bao la 100 Barcelona ikiilaza Olympiakos.

Lionel Messi alifunga bao lake la 100 katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya, wakati Barcelona ikiibuka na ushindi

Read More...

Mkutano wa wagombea urais na IEBC Kenya waahirishwa.

Tume ya Uchaguzi Kenya imeahirisha mkutano ambao ulikuwa umepangwa kufanyika leo, kati ya mwenyekiti wa tume hiyo na wagombea

Read More...

Mwigamba na wenzake wajiunga na CCM.

Baadhi viongozi waliokuwa katika Chama cha ACT-Wazalendo wakiongozwa na Samson Mwigamba, leo wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho na

Read More...

Acacia na Tanzania wakubaliana,Rais apokea taarifa.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzani Dr John Pombe Magufuli, leo amepokea taarifa ya mazungumzo yaliyofanyika kati ya

Read More...

Mobile Sliding Menu