Author: radio5-admin

Mvua zinazoendelea kunyesha zaleta Balaa

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali Duniani zimeleta Madhara makubwa katika mji wa Edgecumbe uliopo kaskazini mwa nchi ya

Read More...

Pembe za Faru Ruksa kuuzwa Afrika Serikali yaruhusu

Wakati Tanzania pamoja na nchi za Afrika Mashariki zikipambana na biashara ya pembe za faru, Mahakama ya katiba ya

Read More...

Balozi wa EU na Balozi wa Israeli Wazama Ikulu na kuongea na Rais Magufuli

Leo Tarehe 6 mwezi April mwaka 2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph  Magufuli amekutana

Read More...

FIFA na UEFA Wapanga Mkakati kumaliza Figisu za Soka Ulaya

Vuta nkuvute kati ya Shirikisho la Mpira Duniani FIFA na Shirikisho la soka Barani Ulaya UEFA bado ni mbichi

Read More...

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein achukizwa na hili

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, ameikemea Wizara ya Afya kwa kutotekeleza agizo lake la kujengwa na kukamilisha

Read More...

Waziri Ummy Mwalimu amteua Lwezimula kuwa Mkurugenzi wa MOI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amemteua Dk.Respicious Lwezimula kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa

Read More...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewakaribisha Waisrael Kuwekeza Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Israel waje nchini kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya kilimo. Waziri Mkuu

Read More...

Wasanii wa Hip-Hop Tanzania, Roma na Moni Central Zone Wametekwa na Watu wasiojulikana jana

Kuna taarifa imetolewa na Mbunge wa Mikumi na Mwanamuziki Mkongwe wa Hip-Hop Nchini, Joseph Haule maarufu kama Professor J

Read More...

Salomon Kalou ashinda tuzo kubwa Ujerumani

Mwanasoka wa Ivory Coast, Salomon Kalou anayeichezea pia Club ya Hertha Berliner katika ligi kuu ya Nchini Ufaransa  ametwaa

Read More...

Korea Kaskazini yarusha kombora kuelekea bahari ya Japan

Korea Kaskazini imefyatua Kombora Jingine na kulielekeza kwenda bahari ya Japani. Kombora hilo lenye uzito wa kati limerushwa Katika Mji

Read More...

Mobile Sliding Menu