
Wakurungenzi wa kampuni ya kimitandao ya Google barani Afrika Jumanne wamesema kwamba inapanga kutoa mafunzo ya kidijitali kwa wanawake

Kundi la Islamic State Alhamisi limethibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Hussein al-Hussein al-Quraishi na limemteua Abu Hafs al-Hashimi

Papa Francis Jumatano alisema kanisa katoliki linahitaji “kujitakasa kwa unyenyekevu na kwa muda mrefu” ili kukabiliana na “kilio cha

Waziri wa mambo ya ndani atangaza chama cha Sonko Pastef Les Patriotes kimefutwa Raia wa Senegal waliachwa na mshangao siku

Wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa jumuia ya uchumi ya mataifa ya Afrika magharibi (ECOWAS) wanakutana katika mji

Rais wa zamani wa Ivory Coast Henri Konan Bedie, mmoja wa wanasiasa wakongwe waliotawala siasa katika taifa hilo la

Uchaguzi mkuu wa 2024 ukikaribia, chama cha African National Congress (ANC) kinajikuta katika hali tete huku wasiwasi kuhusu utawala,

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuwafundisha Mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco FAR

Paka mmoja nchini Uingereza aliyekuwa na mazoea ya kuibanguo na chakula mara kwa mara kutoka kwa majiraniamenaswa. Mmiliki wa paka