Waziri wa Afya Mhe Jenista Mhagama leo ametembeleahospitali ya Amana ambapo baadhi ya majeruhi na walifarikikatika ajali ya Ghorofa
Katika utekelezaji wa zoezi la Kampeni ya chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa Polio, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi
Baadhi ya Watalaam wa Afya kutoka Wizara ya Afya wakitoa Elimu katika kisiwa Cha Rushonga kilichopo ndani ya ziwa
Serikali imesema kuwa gharama za matibabu ya kusafisha figoni kubwa kiasi kwamba hazibebeki,hivyo inafanya mapitio yakuzipunguza. Ahadi hiyo imetolewa bungeni
Wadau wa Mfuko wa Afya wa pamoja nchini (Health BasketFund) wamepanga kuchangia kiasi cha shilingi Bilioni 98.1 kwaajili ya
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeingiza ugonjwa wa Sikoseli katikampango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ilikuweza kupambana nao
Serikali imesema ipo tayari kutumia dawa mpya ya saratani yautumbo iliyo gunduliwa huko nchini Marekani,endapo shirika laAfya ulimwenguni litaipitisha
Imeelezwa kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 mwaka 2017,hadi asilimia 1.4 Desemba 2021. Hayo yamesemwa
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepewa miezi miwili kujitathimini uwezo wao wa usimamizi wa kutoa huduma na kuboresha
Tanzania imeungana na mataifa mengine katika maadhimisho ya wiki ya ugonjwa wa shinikizo la macho duniani huku takwimu zikionesha asilimia 90 ya